Psalms 106:47-48


47 aEe Bwana Mwenyezi Mungu wetu, tuokoe.
Tukusanye tena kutoka kwa mataifa,
ili tuweze kulishukuru jina lako takatifu,
na kushangilia katika sifa zako.


48 bAtukuzwe Bwana, Mungu wa Israeli,
tangu milele na hata milele.
Watu wote na waseme, “Amen!”

Msifuni Bwana.
Copyright information for SwhKC